Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Diamond’s Response on Alleged Beef With Ali Kiba And Witchcraft

d1Tanzania’s finest Bongo star, Diamond Platnumz has finally put to rest rumors that he might be beefing with singer Ali Kiba. In a recent interview with Clouds FM, the singer also answered questions about witchcraft and whether he charges artists for collaborations.
This is what he had to say:
Swali: Unadhani Diamond anaamini uchawi
Jibu: “ Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini haupaswi kuamini… Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU ”
SKuna beef kati yako na Ali Kiba? Na vipi zile Team kwenye Mitandao ya Kijamii
J: “Sijawahi kuwa na beef nae hata siku moja… Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu. Wawachukue msanii fulani na msanii fulani wawashindanishe na wasanii wa nje, ukiwashindanisha wasanii wa Tanzania haiwezi kusaidia Industry yetu”
SKuna malipo ukitaka Kufanya Collabo na Diamond?
J“Sijawahi kufanya malipo kufanya nyimbo na mtu yoyote.. Mwanzoni ilikuwa taabu, sasahivi wanafahamu kwamba kufanya nyimbo na Diamond inakuwa rahisi nyimbo kufahamika East Africa… nimefanya collabo na karibuni wasanii wote wakubwa Africa. ”
SShow ya MTV Road to MAMA Nigeria uliipataje?
J: “Ni mwaliko wa MTV, wa kwanza nilipewa South Africa nikafanya vizuri, wakaona wanipe na sehemu nyingine”

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright KWETU MBALI
Back To Top