MENU
HOME
Drop Down 1
Element 1
Element 2
Element 3
Option 1
Option 2
Option 3
Drop Down 2
Element 1
Element 2
Element 3
Element 4
Contact Us
KWETU MBALI
GET MORE HERE
Featured
Featured Posts
Tweets by @el_magnificol
Social Icons
Loading...
Home
»
Unlabelled
»
RAY C LOOKING FOR HUSBAND
RAY C LOOKING FOR HUSBAND
The search for a husband can be done in a number of ways. There are those that resort to prayers and then there is Ray C who took to social media.
The former singer and recovering drug addict is in desperate need of a loving husband. Through Instagram, the lass went as far as listing a number of requirements her potential husbands must meet.
She wrote:
Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1. Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2. Awe anapenda muvi za kihindi ili nikiwa na stress aniwekee nyimbo za kihindi maana ndio raha ya moyo wangu.
3. Asiwe muongeaji sana sababu huwa sipendi makelele.
4. Anipende na ubonge wangu huu asije akaanza kunambia baby anza mazoezi au dah baby zamani ulikuwa bomba au rudisha kiuno hapo hatutaelewana.
5. Awe ananipikia nikichoka maana navutiwa nikimuona mwanaume anapika.
6. Awe na Mimi muda wote maana na wivu sana ikiwezekana tufanye kazi ofisi moja au awe ofisi ijengwe hapo hapo nyumbani.
7. Awe mvumilivu maana nikiwa na hasira huwa naongea kwa sauti ya juu sana.
8. Asiwe na rafiki wengi,na akitaka kuonana nae na mi niwepo maana si mnajua wanaume tena wakikutana huwa wanashaurina mabaya.
9. Awe anajua nyimbo zangu zote ndio ntaamini kweli ananipenda.
10. Sharti la mwisho kabisa ambalo ni muhimu sana kwangu ni hili tuwe tunatumia simu moja na Namba moja. Maana kanisani tunafundishwa kuwa ndoa maana yake tumeungana na kuwa kitu kimoja kwahiyo kama mume na mke tunalala pamoja kitanda kimoja na kuishi pamoja kwanini tusitumie simu moja!Sioni tatizo!
Kama una ndugu,jamaa.kaka,rafiki yuko single basi mjulishe tangazo hili huezi jua unaeza ukashangaa nimekuwa shemeji yako au wifi yako……………..
- See more at: http://nairobiwire.com/2015/07/tanzanias-ray-c-looking-for-a-husband-these-are-her-requirements.html#sthash.m5iUKGsM.dpuf
on Thursday, July 2, 2015
Post a Comment
CodeNirvana
«
Newer Posts
Older Posts
»
Advertisement
Popular Posts
Video of the Day: Ethiopian Beauty Fools Twitter and Now Everyone is Talking About Her
You may or may not have heard about the #DontJudgeChallenge. It is a video challenge where guys on Twitter post a clip of two version...
Download latest PES SMOKE PATCH 5.2.4
For the gamers this is the good news after being waiting for the long time (caused by time underestimation) PES which will include; - upd...
JOB JOB JOB JOB.......SENIOR EXECUTIVE
The Thomson Reuters Foundation stands for free, independent journalism, human rights, women’s empowerment, and the rule of law. We exp...
Nameless Buys Himself Brand New Ferrari and BMW… PHOTOS
World over, celebrities are always involved in some kind fashion battle to see whose dress-code rocks the best. From the shoes, pants, sh...
ALL NEWS PAPERS ARE HERE 4 JULY 2O15
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
Categories
CELEBRITIES
GAMES
QUATES
TERRORISM
© Copyright
KWETU MBALI
Post a Comment